VIDEO | Platform Tz - Mapepe | Download Mp4
Platform is a Tanga, Tanzanian Bongo Fleva music artist, actor, dancer, and businessman who recently released the song "Mapepe" as a new video song.
RELATED: Platform Tz X Marioo - Fall
Hello once more A beautiful video titled Mapepe mp4 Download by Platfrom Tz is being presented to you today to start off a brand-new day. Enjoy!
Verse 1
Kama ikitokea amani ya moyo imetoweka bora kunizika kuliko kukukosa
Eh Nahata kama ikitokea nipo kwenye shida aah mi nimeridhika siwezi kukutosa
Mmmh alafu nikwambie ewe eeh umeishika pumzi
Pumzi ya mapenzi chochote niambie ewe eeh yani kama chizi chizi wa mapenzi
Nami virago vyangu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakutaka taka
Chorus
Aaah aaah aah aah aah aah
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aaah aaah aah aah aah aah
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Verse 2
Mmh nimetulia tulia alafu nina amani hasa ninapokuwa na wee!
Eeeh tulichumia vya juani tukaishinda mitihani
Mimi furaha yangu ndio wewe
Aah wewe ndio hao marafiki vijini mmh
wasiopenda uwe na mimi
Mmh
watasubiri subiri
eeh iye
Walidhani hutokua wa mimi
Ona wanavyodhalikika sie tunapeta na jiji
Nami virago vyangu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakutaka taka
Chorus
Aaah aaah aah aah aah aah X2
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Nimetulia nimetuli sina mbambamba
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aah nimeunaliza mwendo aah mwendo mwendo
watch, “Platform Tz - Mapepe” below;
VIDEO | Platform Tz - Mapepe | Download Mp4